MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Feb 2, 2016 #1 Nilikua na shillingi 50Kshs na nikazitumia kama ifuatavyo Matumizi -- Salio 20 ------ 30 15 ------ 15 9 ------ 6 6 ------ 0 ------------------ 50 ------- 51 Sasa sielewi hiyo shilingi moja ilikotoka.
Nilikua na shillingi 50Kshs na nikazitumia kama ifuatavyo Matumizi -- Salio 20 ------ 30 15 ------ 15 9 ------ 6 6 ------ 0 ------------------ 50 ------- 51 Sasa sielewi hiyo shilingi moja ilikotoka.
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,416 Reaction score 12,618 Feb 2, 2016 #2 Sasa hela ni zako na wewe ndo umetumia, sisi tutaelewaje ulikoitoa hiyo nyingine?
lady mmarangu JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 306 Reaction score 166 Feb 5, 2016 #3 Acha uwehu pesa zako unataka tujue hiyo sh 1 umeipata wapi?
Amingiman Member Joined Feb 23, 2016 Posts 10 Reaction score 4 Feb 25, 2016 #4 Wewe ni chizi ulikuanayo mfukoni
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Feb 25, 2016 #5 Hesabu inaanza na 0 Hivyo basi ili Ku BALANCE inakubidi utoe 1........ Kwa Mfano kama umezaliwa mwaka 2006 mwaka 2016 utafikisha miaka 10 na sio 11.
Hesabu inaanza na 0 Hivyo basi ili Ku BALANCE inakubidi utoe 1........ Kwa Mfano kama umezaliwa mwaka 2006 mwaka 2016 utafikisha miaka 10 na sio 11.
Pilipilihoho JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 202 Reaction score 145 Feb 25, 2016 #6 😵Nimechanganyikiwa..