Fumbo, hesabu ya matumizi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nilikua na shillingi 50Kshs na nikazitumia kama ifuatavyo

Matumizi -- Salio
20 ------ 30
15 ------ 15
9 ------ 6
6 ------ 0
------------------
50 ------- 51

Sasa sielewi hiyo shilingi moja ilikotoka.
 
Sasa hela ni zako na wewe ndo umetumia, sisi tutaelewaje ulikoitoa hiyo nyingine?
 
Hesabu inaanza na 0 Hivyo basi ili Ku BALANCE inakubidi utoe 1........
Kwa Mfano kama umezaliwa mwaka 2006 mwaka 2016 utafikisha miaka 10 na sio 11.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…