Fumbo la Maisha ya Binadamu: JICHO LA MUNGU

Tunaishi ili siku moja tuje kufa.Ijapokuwa tunakula,tunakunywa na tunazaliana haya yote ni mambo muhim kutufanya tuishi na kuongezeka.Lakini kila nafsi itaonja mauti.
 
 
Nataka kuishi kwasababu niendelee kujifunza kupitia 'Makala' zinazonifikirisha na kunisababisha kutoa HONGERA!
 
Inatupasa: TUISHI KWA AJILI YA WENGINE.

kama hujaelewa rudia kusoma tena kisha fikiria.
 
Nataka kuishi (Nina ishi) ili niendeleze uhai katika mfumo wa kifizikia, Nina ishi Kwa sababu mimi ni sehemu ya uhai unaoonekana katika sayari hii, pia nitakufa pia Kwa ajili ya kuendeleza uhai , Kwa hyo tunaishi ili kuendeleza uhai pia tunakufa ili kuendeleza uhai , dhumuni la kufa na kuishi ni moja.
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…