Kimsingi sidhani kama CCM iliwahi kushinda uchaguzi wo wote Zanzibar baada ya Tanzania kuruhusu mfumo wa Vyama vingi 1992! Nadhani hata Mwalimu Nyerere amefariki dunia akijua Wazanzibar wana msiamamo.
Nachowapendea Wazanzibar siyo Wanafiki kama sisi Wabara.Na sina hakika kama na wao wana Kipindi cha kusifu na kuabudu.
Kama kitu hawakipendi ni kweli hawakipendi.