Fumbo!!!!

Fumbo!!!!

Selekta

Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
24
Reaction score
9
"uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea
uhai wa mtu mwengine" mimi nani?
 
kwani mara hii tushakuwa wanafunzi na mafumbo jamani
Ahhh ngoja nirudi msingi nikasome
 
Back
Top Bottom