Fumigation Services for homes, offices, godown - Wataalam tupo hapa

Fumigation Services for homes, offices, godown - Wataalam tupo hapa

Gerald Massawe

New Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Dar es Salaam, wenye shida au kuhitaji huduma ya kupuliziwa dawa za kuua wadudu (fumigation), majumbani au maofisini, godown na stoos za vifaa, mazao na mashambani, kwenye meli na containers, lakini hawajui waanzie wapi kupata huduma sahihi, GoodMEN Company ltd watakupatia huduma hii.

Kwa huduma za kupuliziwa dawa za kuua wadudu watambaao na warukao: kama mende, mbu, mchwa, siafu, sisimizi, kunguni, inzi na wengineo. GoodMEN tumebobea kwenye kazi hii kwa miaka zaidi ya 10 hapa Dar es Salaam na mikoani, tunatumia madawa original na ya kiwango cha juu. Tuna wataalamu waliobobea kwenye fan hii, na tumesajiliwa na Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)

Kwa huduma na maelezo zaidi wasiliana nasi:

GoodMEN Company ltd
P. O. Box 72844,
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: 0763 210 000 na 0784 844 233
Email: gerald.massawe@gmail.com na gm@goodmen.co.tz
 
Back
Top Bottom