fumigation :Tunauwa wadudu wa aina zote

fumigation :Tunauwa wadudu wa aina zote

Mijicho

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2009
Posts
282
Reaction score
219
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Tunafanya shughuli ya kuuwa wadudu kwa dawa ambazo zimethibitishwa na mamlaka zote nchini Tanzania.

Wadudu aina zote tunapambana nao warukao,wanaotambaa .

Kazi yetu inaanza iwapo ukiwa unahitaji hilo,tunakuja kufanya survey na kukupa makadirio ya gharama halafu tunaendelea na kazi.

Maeneo korofi ya kila aina tunafanya kazi Viwandani,mashuleni, Mahotelini,Vyuoni,Taasisi mbalimbali pamoja na majumbani.

Karibuni tufanya biashara

Nyumba ya kawaida yenye uwanja wa wastani:250,000
Nyumba kubwa yenye eneo kubwa nje:350,000

Tuna vifaa vya kisasa na mashine ambazo zinatumia diesel engine kwa ajili ya ubora wa kazi.

Karibuni inbox kwa mtu mwenye hitaji.

M
 
Back
Top Bottom