Fun fact: Uganda inaongoza kwa kuwa na maziwa mengi Afrika

Fun fact: Uganda inaongoza kwa kuwa na maziwa mengi Afrika

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Nchi ya Uganda ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na maziwa mengi barani Africa. Ikiwa na maziwa 69. Ziwa linahesabiwa iwapo eneo la maji kwa kiwango cha chini ni ekari 5 na wakati mwingine kuanzia ekari 20. List hii.

1. Uganda 69
2. Kenya 64
3. Cameroon 59
4. Tanzania 49
5. Ethiopia 46
6. SA 37
7. Rwanda 29
8. Ghana 29
9. Moroccco 26
10. Madagascar 25

Duniani nchi inayoongoza kuwa na maziwa mengi ni Canada. Ina maziwa milioni 2.
Kwa maoni yangu Tanzania kuna maziwa mengi yenye ukubwa wa kuanzia ekari 20 zaidi ya hayo 49. Tukiyahesabu na kuyadocuments vizuri tutayapita hayo 69 ya Uganda. Tuyataje maziwa tunayoyafahamu ili tupite hiyo rekodi ya Uganda.

1. Victoria
2. Tanganyika
3. Nyasa
4. Rukwa
5. Eyasi
6. Manyara
7. Natron
8. Jipe
9. Duluti
10. Burigi
11. Masoko
12. Ngosi
13. Singida
14. . . . .
 
Back
Top Bottom