Fundi akuta dhahabu za Tsh. Bil. 29 na kuwaita polisi. Wewe ungefanya maamuzi gani?

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Mafundi ujenzi Nchini Ubelgiji wamejikuta katika tukio lisilo la kawaida baada ya kugundua hazina ya dhahabu yenye thamani ya euro milioni 9, zaidi ya shilingi bilioni 29 za Kitanzania wakati wakikarabati jengo la zamani Mjini Dendermonde.

Ugunduzi huo umetokea wakati Wafanyakazi hao wakiweka mfumo mpya wa mabomba ya maji taka katika eneo la jengo lililokuwa likitumika kama Kiwanda cha Bia ambapo walikutana na hazina hiyo iliyofichwa kwa muda mrefu ikiwa ni vipande 49 vya dhahabu pamoja na maelfu ya sarafu za dhahabu.



Miongoni mwa waliokuwa wakifanya kazi eneo hilo ni Mwanafunzi Kobe (18) ambaye amesema mwanzoni walidhani walichokiona ni sarafu za kawaida za euro moja, kabla ya kugundua kuwa walikuwa wamekutana na dhahabu ambapo waliwaarifu Waajiri wao pamoja na Polisi, ambao waliichukua na kuihifadhi katika eneo la Serikali lenye ulinzi mkali.

Hadi sasa bado haijafahamika nani ni Mmiliki halali wa hazina hiyo, huku Mamlaka zikiendelea kuchunguza ilikotoka.

=======

For a student with a summer job working on a Belgian building site, โ€œmoney down the drainโ€ has taken on a whole new meaning: excavating the trenches for a sewage system, he stumbled across a hidden trove of gold worth an estimated โ‚ฌ9m (ยฃ8m).
โ€œWe suddenly saw something lying there,โ€ 18-year-old Kobe told the Belgian news network VTM. โ€œAt first I thought it was โ‚ฌ1 coins. So we started digging them up. Then we saw a gold bar. It turned out to be a bit more than we thought.โ€

The student, who has not been further identified, was working with colleagues on the site of a former brewery on Van Langenhovestraat in Sint-Gillis-Dendermonde, about 19 miles (30km) north-west of Brussels, when they made the discovery on Tuesday.

The hoard, which includes gold coins, nuggets and numbered bullion bars, was stashed in a bag in a bricked-in cellar wall beneath the grand villa originally built for the breweryโ€™s owner, Theophilus Van Assche, in the late 19th century.

said: โ€œItโ€™s just not something you expect when youโ€™re working on a regular Tuesday morning,โ€ adding that the treasure trove appeared to have been deliberately hidden. โ€œIt was really bricked in there โ€“ not in a safe or anything.โ€

Brewing on the site began in 1899 and ceased in 1970, and the listed property โ€“ the wrought-iron gates of which still bear the initials โ€œVAโ€ โ€“ is being completely renovated by the social welfare organisation CAW Oost-Vlaanderen to create new offices and housing.

โ€œThe Brouwershuis was a beautiful building, but it is being completely gutted,โ€ Geert Hillaert, of CAW, told the news outlet HLN. โ€œUltimately, only the walls will remain. Labourers were laying drainage pipes when they stumbled across the gold.โ€

Kobe and his colleagues called the police and notified CAW as soon as they came across the gold hoard. The treasure has since been transferred to a secure facility in Brussels pending a detailed official investigation to establish its legal ownership.

Hanne Ollevier, of the East Flanders public prosecutorโ€™s office, told HLN that authorities must first verify that the bullion was not stolen property or the proceeds of criminal activity, and was likely to spark a complex civil dispute.

The building contractors, the welfare organisation and any descendants of the once-wealthy Van Assche family could all have a claim to part of the fortune. Belgian law requires finders to wait at least five years for potential owners to claim any treasure.

A former mayor of Dendermonde, Piet Buyse, told HLN that the Van Asscheโ€™s fortune had โ€œcertainly stayed in the family. It wouldnโ€™t surprise me at all if they had decided to put at least some of it in gold, and then to hide it in a safe place.โ€

For his part, Kobe said he and his colleagues had understood straight away that they had to hand over such a big find. โ€œIf it had been a few coins, maybe not,โ€ he said. โ€œBut maybe weโ€™ll get some kind of finderโ€™s reward eventually.โ€

Source:The Guardian
 
Mimi nisingekuwa mzalendo kiasi hicho, ningejaza mifuko yote miwili kwanza, kisha ndio nawaambia wenzangu, guys, look! i found two gold coins! Hiyo bilioni 29 ingepungua kidogo sana.
Hata mafisadi huwaza hivi hivi, wanajipigia tu.
 
Hivi dhahabu hua inachimbwa kwa gharama kubwa ili ikahifadhiwe?
 
Mafundi ujenzi wa hapa Bongo tuna cha kujifunza hapa. I can't imagine Kama hizo dhahabu zingeonekana na Mafundi wa kibongo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sijui Saidia fundi angepata kiasi gan๐Ÿ˜‚
 
Watu wanawaza kuiba iba tu muda wote. Bila kujua process ya kugawana hio dhahabu kwa watu zaidi ya mmoja nishid.

Pakwenda kuziuza pia hizo dhahabu kwa nchi kama Belgium ni mtiti lazma ushtukiwe.
Na hata wakisema waziyeyushe bado ni msala napo.

THINK WISELY
 
kwa wenzetu changamoto ni wewe kuelezea umepataje hiyo pesa
 
kwa wenzetu changamoto ni wewe kuelezea umepataje hiyo pesa
Hata hapa Tanzania hiyo dhahabu unapeleka kuiuza bank ukiwa na kibali halali cha kufanya hiyo shughuli au biashara.
Hao mafundi hata hapa Tanzania hawakuwa na la kufanya kabla hawajakamatwa
 

Ni dalii ya umaskini ulio kubuhu
 
Hii bahati ingenikuta mm ndi naaga umasikini hivyo, madogo wataendelea kupiga nyundo mpaka kiama.

Sonara zote hizo wanafeli wapi unayeyusha u auza black macket gademit. Pesa haikosi kazi.

Hawa madogo hawana akili!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ