kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Weka picha mkuu kwannWakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie ,Asante
Kuliko uhangaike muite fundi alie chafua aje asafisheWakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie ,Asante
Yanasafishika namaji tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fundi yupi tena jamani?? [emoji35][emoji35]
Pole sana mkuu.Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie ,Asante
Atakuwa fundi maikoFundi yupi tena jamani?? [emoji35][emoji35]
Ungemsaidia afanye nini kutatua tatizo. Sio uanze kukashifu mara anatoa hela kidogo,mara usimamizi hafifu.Pole sana mkuu.
Ni kweli Kuna wakati unahitaji fundi.wa kazi furani, unajikuta kwenye uchaguzi usio sahihi.kwa sababu ya
1-Kama unatoa pesa ndogo kwa fundi mara nyingi unapata fundi wa viwango vya chini.
2-Una mlipa fundi hela ya kutosha ila hujui kuchagua fundi lazima ubaki na majonzi.
3-Usimamizi hafifu, msongo utakuhusu.
N.k
UVIMO wakati tunafanya kazi za wayaringi ,tulikutana na kadhia hii(pichani) na bosi alilaani sana kazi yetu ila bbada ya kumwelewesha alielewa.
Swich zilikuwa chini ya levo ya plasta, hii ni kosa,nyumba inabaki na mwonekano mbaya.
Kawaida swich ibaki juu ya plasta hapo inape deza na kuongeza furaha kwako.
UVIMO Tuna tumia mafundi wetu kuanzi msingi ,kupaua, umeme na fininishing xote kuepuka haya.
Pole jipe.muda usafishe yataosha.View attachment 1677998View attachment 1677999View attachment 1678000
Atakuwa ni yule Fundi MaikoFundi yupi tena jamani?? [emoji35][emoji35]