Dsm Installers Tech Member Joined Aug 15, 2018 Posts 19 Reaction score 19 Apr 1, 2024 Thread starter #21 Ni nzuri ndio mkuu lakini kama ikatokea mgeni akagundua na akakukalia kooni basi hapo utazichukia moja kwa moja😁. Rusumo one said: Hizi za siri nzuri kufunga mwenye nyumba za wageni Click to expand...
Ni nzuri ndio mkuu lakini kama ikatokea mgeni akagundua na akakukalia kooni basi hapo utazichukia moja kwa moja😁. Rusumo one said: Hizi za siri nzuri kufunga mwenye nyumba za wageni Click to expand...
Dsm Installers Tech Member Joined Aug 15, 2018 Posts 19 Reaction score 19 Apr 8, 2024 Thread starter #22 Tunaendelea na kazi tupigie 0658517022 Inawezekana umeshafunga fence lakini je,inafanya kazi kwa ufanisi? Click to expand... ●Inawezekana unaona mashine inakuonyesha kufanya kazi ndio lakini ina muda haijafanyiwa service mfumo wa fence yako. ●Umefunga Cctv camera lakini kuna muda zinakata na kurudi,camera zingne zinafanya kazi na zingne hazifanyi kazi. ●Umefunga gate motor lakini unapata changamoto battery kubadirisha kila muda na ukibadirisha tatizo haliishi? ●Kwa huduma za kufunga na kurekebisha matatizo ya mifumo ya ulinzi karibu tupigie 0658517022 Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania bara na visiwani Zanzibar. Attachments 20240405_141659.jpg 20240405_141659.jpg 17.2 MB · Views: 5 1_20240307_163932_0000.png 347.6 KB · Views: 7 20240223_0511371.mp4 37.4 MB
Tunaendelea na kazi tupigie 0658517022 Inawezekana umeshafunga fence lakini je,inafanya kazi kwa ufanisi? Click to expand... ●Inawezekana unaona mashine inakuonyesha kufanya kazi ndio lakini ina muda haijafanyiwa service mfumo wa fence yako. ●Umefunga Cctv camera lakini kuna muda zinakata na kurudi,camera zingne zinafanya kazi na zingne hazifanyi kazi. ●Umefunga gate motor lakini unapata changamoto battery kubadirisha kila muda na ukibadirisha tatizo haliishi? ●Kwa huduma za kufunga na kurekebisha matatizo ya mifumo ya ulinzi karibu tupigie 0658517022 Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania bara na visiwani Zanzibar.