Fundi cherehani na msichana mrembo!

Fundi cherehani na msichana mrembo!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
Fundi cherehani mmoja alikuwa hoi baada ya kuingia mteja wake mmoja mrembo sana! Mrembo huyo alikuja kupima kitambaa ili ashonewe gauni; Ile kumtazama jinsi alivyoumbika, fundi uchu ukamshika.

Basi wakati anampima akawa anaitumia nafsi hiyo kumshikashika mara kifuani, mara hips huku akijichelewesha kumpima taratibu. Yule mrembo kuona vile hakuvumilia, ndipo akamwambia Fundi; We, fundi kumbuka Mathayo 7:7, kusikia hivyo fundi akaogopa kwa kudhani amekutana na mlokole ikabidi kwa hofu asitishe mchezo wake.

Basi alipomaliza kumpima, yule mrembo aliondoka. Fundi haraka sana akachukua Biblia na kuanza kusoma Mathayo 7: 7.

Lahaula alikutana na maneno haya; "Ombeni nanyi mtapewa! Pale pale aliitupa Biblia mezani na kutimua mbio kumfuata yule mrembo!
 
Mathew 7:7 Ask, and it shall be given you; seek, and ye shall find; knock, and it shall be opened unto you!
 
Nayaweza Yote Katika Mungu; anipae Nguvu Daima.Phil 4:13

Kweli nimeamini hapa JF kuna watu wabunifu, hii hadithi imekumbusha yale niliyoelezwa na Katekista wangu wakati nachukua mafunzo ya komunio. Alisema"Wanangu, mnapotafakari Biblia, msichukue msitari mmoja mmoja na kuliangalia kidunia, bali Neno la Mungu mlitafakari kwa ujumla wake kwa kuenzi Utukufu wa Mungu". Huyu fundi cherehani anafaa tena arejee Mathew 18:8 "If your hand or your foot causes you to sin, cut it off and throw it away. It is better for you to enter life maimed or crippled than to have two hands or two feet and be thrown into eternal fire".
 
Fundi cherehani mmoja alikuwa hoi baada ya kuingia mteja wake mmoja mrembo sana! Mrembo huyo alikuja kupima kitambaa ili ashonewe gauni; Ile kumtazama jinsi alivyoumbika, fundi uchu ukamshika.

Basi wakati anampima akawa anaitumia nafsi hiyo kumshikashika mara kifuani, mara hips huku akijichelewesha kumpima taratibu. Yule mrembo kuona vile hakuvumilia, ndipo akamwambia Fundi; We, fundi kumbuka Mathayo 7:7, kusikia hivyo fundi akaogopa kwa kudhani amekutana na mlokole ikabidi kwa hofu asitishe mchezo wake.

Basi alipomaliza kumpima, yule mrembo aliondoka. Fundi haraka sana akachukua Biblia na kuanza kusoma Mathayo 7: 7.

Lahaula alikutana na maneno haya; “Ombeni nanyi mtapewa! Pale pale aliitupa Biblia mezani na kutimua mbio kumfuata yule mrembo!
Duu,sasa huyu fundi kweli chizi anamkimbilia ili amuombe,anajuaje kama anaenda kuuomba ukimwi?
 
ole wao wanaotumia maandiko kwa kupotosha au kwa manufaa yao,mtachomwa moto bila kutoka majivu,maandilko si ya kutongozea
 
This kind of construing bible words is dogmatic wana JF!!!!!!!
 
basi isiwe taabu mtu anapoomba apewe mbona maandiko yapo simle and clear
conquest
 
Back
Top Bottom