stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Hongera. Mpo vizuri.Hii ni nyumba ya ya vyumba 3 vya kulala
Mbao za 2/2 mbao 130
Mbao za 2/4 mbao 150
Misumali kg 45 ya inch 4
Mbao za fisherboard 18
Rangi sado 1
Kofia 26
Valley 18
Misumali ya bati pakt 30.
Bati 140
Nipigie au nichek Whatsapp 0743257669 tufanye kazi
Tunapatikana ukonga dsm
View attachment 3204601
Ndio mkuu na sio hiyo tu tumefanya kazi nyingi sana kwa dsm na mikoaniJe hii ni KAZI YAKO?
KAZI ni kipimo cha UTU
Ghalama za ufundi inategemea na eneo ambalo tunafanya kaziKila la heri mkuu, kazi nzuri.
Hiyo pichani gharama zako za ufundi ni kiasi gani?
Umeulizwa hiyo uliopaua hapo gharama zako, unaanza kutaja DSMGhalama za ufundi inategemea na eneo ambalo tunafanya kazi
Kwa dsm ghalama n nafuu zaid kwa sababu nyumban ila kwa mkoan ghalama inaongezeka kdg kutokana na nauli na malazi