Fundi Kushona anahitajika

Fundi Kushona anahitajika

Sangwa

Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
28
Reaction score
10
Fundi Nguo anahitajika haraka, awe Ana uwezo wakushona mitindo ya kisasa hasa ya wanawake, mchapakazi mbunifu na mwenyekujituma. Awe na ujuzi wa miaka 3 na ziadi, Mkazi wa Dar..Piga namba hii 0737610682
 
Aje tu kwako??.Mshahara haujulikani,Aina ya mkataba haijulikani,ndugu yangu hebu weka tangazo lako vizuri,utuondolee maswali kichwani.
 
Ndo maana namba imewekwa hapo..kwa maswali yeyote unaweza kuwasiliana kwa simu
 
Back
Top Bottom