Kuna jamvi sehemu za mbele hajaweka.am I the only one naona kapatia? Ni suala la mapambo tu
Hauoni?! Kwenye veranda badala ya kumwaga jamvi... KAPIGA BATI!... KMMMK HATAKI USUMBUFU NA ANAOKOA GHARAMA!am I the only one naona kapatia? Ni suala la mapambo tu
Sure, nimeona sasa.Kuna jamvi sehemu za mbele hajaweka.
Sijui kama ni maamuzi yake au mfuko wa boss
Fundi anayeokoa Gharama ndio Fundi mzuri 😂😂😂Hauoni?! Kwenye veranda badala ya kumwaga jamvi... KAPIGA BATI!... KMMMK HATAKI USUMBUFU NA ANAOKOA GHARAMA!
FUNDI WA MODIFICATIONS OF ITS OWN!
Hio picha ya chini tofali zake zote zimelazwa km linavyojengwa kanisa ila hio ya juu tofali zimesimamishwa lazima kitokee kitu tofautiUnatuma pesa kutoka huko uliko, likizo inayofuata Makita hali kama hapo juu. Fundi kama ramani hukuielewa si ungesema tangu mwanzo nitrite fundi mwingine!
Amefeli vingi nje na mapamboam I the only one naona kapatia? Ni suala la mapambo tu
KabisaHakuna nafasi ya mzunguko wa hewa.
Hapo kuna ghorofa na isiyo ghorofa, we huoni?am I the only one naona kapatia? Ni suala la mapambo tu
Ndugu/rafiki? Asimamie material ama unamaanisha asimamie kitu gani mkuu?Huna ndugu au jamaa au rafiki wa kukusimamia nyumba yako?
Ubinafsi unawatesa watu sanaaa
Fundi pamoja na client wake hawakujua ni nini kinatakiwa.View attachment 3473144
Fundi Maiko anakuhakikishia kabisa utapata kitu na box kama picha inavyoonyesha. Kwakua likizo yako ni ya wiki tatu, wiki ya kwanza ulimtafuta fundi, wiki ya pili mlishughulika na kibali cha ujenzi pamoja na kuna vifaa. Wiki ya tatu mchumba msingi na unapata jamvi limemwagwa.
Unatuma pesa kutoka huko uliko, likizo inayofuata Makita hali kama hapo juu. Fundi kama ramani hukuielewa si ungesema tangu mwanzo nitrite fundi mwingine!
Siokweli naona hii mada imekuja kutufurahisha.Architect anasoma miaka 5 chuo,
Engineer miaka 4,
Fundi maiko miaka 0?
Lazima kitokee kitu cha tofauti kama umempa kazi fundi maiko. Fundi maiko anapewa kazi na kusimamiwa na hao wa juu yake, na ukifika site usiongee nae chochote kuhusu Kazi (chain of command ifuatwe).
Pole Mkuu, kukwepa gharama za utaalamu kwenye ujenzi ni hasara kubwa mno.