Fundi Maiko anavyokuahidi na kitu anachokutolea

Kuna plan yake? Au ulimpa Elevation tu ili atoe nyumba kwenye picha?

Hapo upungufu upo kwenye veranda kwa kuwa kaweka bati badala ya zege. Mengine yote yanarekebishika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…