Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Dah! Aisee Acheni jamani Yanatukuta mengi Hamjui tu,Utundu wa kujifanya Fundi umeme kila switch nyumbani naweka mwenyewe kuna siku Nikavamia ile Inaitwa Junction Box kwa Jirani...Acheni Jamani Kumbe Tangu siku Ile Sishangai kuona samaki Anazama Baharini.