Dah! Aisee Acheni jamani Yanatukuta mengi Hamjui tu,Utundu wa kujifanya Fundi umeme kila switch nyumbani naweka mwenyewe kuna siku Nikavamia ile Inaitwa Junction Box kwa Jirani...Acheni Jamani Kumbe Tangu siku Ile Sishangai kuona samaki Anazama Baharini.
View attachment 2219336
View attachment 2219337
Asilimia 99 za nyumba za Makazi Tanzania zinajengwa na fundi Michael
Ghorofa zote ninazozifahamu kabla maeneo hayajawa na watu wengi Wanatumika Fundi Michael
Maeneo ya Mbezi Beach, Ununio, Mbweni wanajenga ni Fundi Michael
Sasa wewe kelele unaishi maeneo gani ambako kuna matajiri wanatumia Makampuni toka China engineering, au Japanese International Construction
Tanzania hii maeneo mengi ni Slum tu
Maeneo ambayo yamepangwa kidogo ni mjini tena baadhi ya mikoa kama Mtwara mjini, Ruvuma pale Songea mjini. Lakini Mbeya, Dar, Arusha, Mwanza zimejaa slums na uchafu tu
Fundi Michael wanajenga kila kona mpaka maghorofa ya kariakoo wamejaa mafundi Michael kibao
Sasa wewe unaongelea Marekani? Kama Tanzania watu wanajenga kwa kuunga unga tu