Fursa ya Kazi
Jnego la makazi la urefu wa ghorofa zaidi ya 10 linatafuta fundi mwenye sifa zifuatazo
1. Awe fundi umeme mwenye ujuzi, ufundi na ujuzi kwenye maswala ya mifumo ya maji safi na maji taka pia inaweza kuwa added advantage muhimu sana
2. Umri 25 hadi 50
3. Awe na uzoefu na magorofa marefu
4. Awe walau na certificate ya ufundi wa umeme
5. Awe mwenye juhudi na kazi
6. Awe anaishi maeneo karibu na mjini
7, Awe na uzoefu wa jumla wa angalau miaka mitatu (combined 3 years work experience)
Kwa yeyote mwenye sifa hizi tafadhali wasiliana nami mapema ili nafasi hii iweze kujazwa.