Fundi Mbobezi wa Mashine viwandani Anahitajika

Joined
Oct 23, 2020
Posts
93
Reaction score
94
Habari za Jioni ndugu wadau.

Nahitaji fundi mtaalamu wa mashine kubwa kubwa za viwandani.

Naomba msaada wa kuonganishwa kama kuna mdau yoyote anayemfahamu.

Ahsante
 
Kwenye sekta hii ya mitambo jaribu kudadavua kidogo, vianda hasa vya aina ipi maana mbobezi wa viwanda vya sukar au pombe sio rahisi kua sawa na mbobezh wa vhwanda vya saruji, kuna wabobezi hapa hasa viwanda vya saruji, na migodini je atakufaa?
 
Viwanda vya chakula/nafaka
 
Back
Top Bottom