Fundi mchwara wa magari

Hehehehe atakuwa kalewa huyu si bure.
 
Naona hiyo gari ina choo maana hapo naona kuna kizibua choo hahahaha
 
Hapo amekosa kijiko na uma tu!!! kwi!! Kwi!!
 
hahahaaaaaaaa, kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hili jizi tu si fundi wala nini, mweh!.
 
Ina maana hivyo vifaa vyote ameshavitumia na bado tatizo hajaliona, huyo kweli fundi ..!!!
 
huyu hafai kuwa fundi wa meli coz vifaa vyote hivyo vingekuwa vimetumbukia kwenye maji, sasa kama kina ni kirefu ndio basi tena... hahahahah
 
huyu hafai kuwa fundi wa meli coz vifaa vyote hivyo vingekuwa vimetumbukia kwenye maji, sasa kama kina ni kirefu ndio basi tena... hahahahah
hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…