Fundi Mpemba Kumzibiti Mume mcharuko.

Yeye ana simulizi tu hajui fundi huko. Naomba msaada pls

huyo shoga yako ndiye fundi mwenyewe, anamaanisha kuwa wewe una matatizo ndiyo maana mumeo hatulii ila akifika kwake atatulia.
 
Njoo upewe 'shuntama' (kaa chini ) umpe hapa bukoba ni mwisho na ukiona haifai unapewa ya kumdolea hiyo shuntama
 
Daah Yaani wewe nikuaminia....mama ushauri...mzima lakini mamito..umepotea!!
 
MIMI MTALAAM WA MAMBO HAYO NAMJUA, LAKINI NAKUPA TAHADHALI (side effect) UNAWEZA KUMFANYA MUMEWE AWE ZEZETA, KUNA MTU ALIMFANYIA MUMEWE, BASI AKAWA MUME AKIRUDI NYUMBANI NI NDANI TU, IKAFIKIA MAHALI JAMAA HATAKI HATA KWENDA KAZINI NA MWISHOWE AKAFUKUZWA KAZI. NO SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI INARUHUSU KUTUMIA NENO AKAACHISHWA KAZI.
 
Kabla hujaenda kwa mpemba mchunguze kwanza ndoa zake zimetulia? Maana usijekuwa pumziko lake na hivi kwa jinsi ulivomuamini na kujikabidhi kwake kila kitu utasema 'yes sir' hata akikuambia shart ulale naye kwa wiki moja.
Mama, Yesu ndiye jibu, achana na mpemba, naye anamatatizo kibao, atachofanya ni kuhamishia baadhi kwako.
 
si uende Pemba basi! angalia yawezekana hata hyo shogha yako anaweza akawa ni mwenza wako! huo ni ushirikina-kama mkristo rejea Bibilia ka Muislamu rejea Kurani! alafu kama sihelewi vile unaposema hapishi Sketi, na uo ukicheche umeanza baada ya kuingia naye kwa ndoa au hata kabla!
 
Nenda Buguruni pale wanauza mbao, uliza kwa mzee Ali mpemba. Huyo anafunga gavana na hutumia tool yake kutia kwenye kidude chako kufanikisha hiyo gavana. Kama upo tayari nenda anuani ndio hiyo.
 
dada mie mpemba,,namjua huyo mtu lakini masharti yake huyaweziii,,,,anaweza kumfunga mumeo ila itabidi uwende mwenyewe kwa huyo mpemba,lakini naogopa akija kufanyia dawa mumeo akatulia na wewe ukamchunuku mpemba,,mana dawa yake lazima mufanye tendoo,,,sijui kama kuna mwengine ambaye hana tatizo kama la huyu nimjuee miee,,ila hiyo siri yako nakudokeza tuu,,,,

Ukiwa tayari nitumie msg kwa kutmia profile yangu nikuelekezeee,,,,lol
 
Hayo nayo ni mambo ya msimu tuu wala hayajengi sana sana yatakuharibia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…