Kicheche mkali
Senior Member
- Nov 3, 2021
- 160
- 141
ShukraniAhsante kwa taarifa...
Ni kweli kama si mzoefu itakuwa ngumu sanaDah!
Urembo unasumbua sana kama si mzoefu aise!
Mfano Nguzo moja unaweza shinda nayo kutwa nzima,
Tena kama si mzoefu unaweza usimalize.
Kila la heri mkuu.
Mikoani tunafika....upo mkoa gani chiefMpo mkoa gani ? Vp mikoani mnafika.