Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,973
- 2,239
Hii pamoja na material? Au ufundi tu?Dirisha Tsh 40,000
Kona Tsh 40,000
Nguzo Tsh 45,000
Mlango Tsh 40,000
Dining (Arch) 100,000
Arch ya nje Tsh 25000
Skating nzima Tsh 200,000
Nipigie kwa namba 0789005562
Au njoo wasap kwa link hii [emoji116][emoji116][emoji116]
Https//Wa.me//255789005562
Punguzo kubwa kwenye skimming ....Mikoani tunafika.
View attachment 2204546View attachment 2204548View attachment 2204549View attachment 2204550View attachment 2204552
Nasubiri hili lijibiweHii pamoja na material? Au ufundi tu?
Boss ni ufundi tu....nakuja na vifaa vyangu vya kaz client atanunua cement na MchangaHii pamoja na material? Au ufundi tu?
Nishalijibu chief....ni Ufundi tuNasubiri hili lijibiwe
Nishalijibu mkuumm pia nasubir jibu pesa ngumu sana.
Tuongee kaz mkuu! Morogoro nafika kwa haraka zaidi!Siku ukija morogoro niambie nikupe kazi ya urembo wa madirisha
Kazi nzuri nitafute tufanye kazi mwezi wa kumiOffer Ya Mwezi huu!
Dirisha Tsh 30,000
Nguzo Tsh 35,000
Kona Tsh 30,000
Skating Tsh 150,000
Arch/ndani Tsh 80,000
Arch/Nje Tsh 20,000
Tunapatikana Temeke Dsm
[emoji338] 0789005562
What'sApp link.... [emoji1484][emoji1484]
Wa.me/255789005562
#ujenzi #ujenzizone #ujenziwanyumbaboratz #ujenzizone #ujenzizone_tz #finishing #TANZANIA #tanzania #FINISHINGView attachment 2362341View attachment 2362342View attachment 2362343View attachment 2362344View attachment 2362345