Fundi mzuri wa ac (air condition)

Fundi mzuri wa ac (air condition)

wokitoki

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
53
Reaction score
9
Wadau naomba msaada. Toyota Cami inasumbua upande wa AC ukiweka on ac kuna kamlio kanalia kama mluzi kriiiiiiiiiiii. Naomba anaemjua fund mzuri wa ac anielekeze au anipe namba yake plz. Asanteni.
 
Wadau naombeni msaada wenu nipatien fundi wa ac plz ki cami changu kinatoa mlio kriiiiiiiiii nikiwasha ac
 
0713603129 mpigie huyo utampenda bure
 
Wadau naombeni msaada wenu nipatien fundi wa ac plz ki cami changu kinatoa mlio kriiiiiiiiii nikiwasha ac
Nenda fire pale kwenye yard opposite na kituo cha mafuta Kuna fundi anaitwa lymo huyo mzee ni mzuri SANA kwenye ac

Ova
 
Yuko wapi huyu?



kwanza ni na swali. mlio wenyewe unatoka ndani ya gari au nje. kwa haraka angalia belt iliyopita kwenye compressor ya ac na pia angalia kama vent za ndani kama kuna ambayo inapitisha hewa ndivyo sivyo
 
Nenda Machinga Complex Ilipo TRA Hapo
Uliza Fundi Wa AC Maarufu Mzee Makofia Mzuri Huyo Na Anapata Kazi Nyingi
 
Back
Top Bottom