Fundi Mzuri wa External hard drive

Fundi Mzuri wa External hard drive

kajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
2,946
Reaction score
5,470
Msaada wadau natafuta fundi Mzuri nasisitiza mzuri maana mafundi wa electronics "wengine" wabahatishaji.

Hivyo kama unafaham fundi anae jua kutengeneza hizi external hard drive Naomba anisaidie.
External nilizonazo zinawaka ukiziconnet ila hazisomi sio kwenye computer au kwenye TV.
 
Switch kutumia SSD achana na haya madisk ya kuzunguka ukiangusha kidogo tu umekwisha ni hasara sana kua nayo karne hii.. Nunua zako SSD kutoka kampuni inayojielewa ya ukubwa unaotaka gharama zake ni kubwa kidogo but it worth kisha nunua External Case wanauza mpaka 9k - 10k then tayari una External..
 
Back
Top Bottom