HISIA KALI JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 694 Reaction score 108 Mar 17, 2011 #1 Jamani fundi mzuri wa milango ya nyumba anatafutwa kwa kazi ya haraka hapa DSM. Naomba ushauri wenu, anaweza kupatikana wapi? Pia kuna mtu mwenye picha za kazi zake na kama zipo tunaziomba.
Jamani fundi mzuri wa milango ya nyumba anatafutwa kwa kazi ya haraka hapa DSM. Naomba ushauri wenu, anaweza kupatikana wapi? Pia kuna mtu mwenye picha za kazi zake na kama zipo tunaziomba.