Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Gari yangu ina cd 6 lakn cd zimenasa zote ndani hazitoki wala hazi-play. Msaada plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta fundi wa car sound systems atifungua atazitoa pia kama kuna tatizo atakurekebishiaGari yangu ina cd 6 lakn cd zimenasa zote ndani hazitoki wala hazi-play. Msaada plz
Tafuta fundi wa car sound systems atifungua atazitoa pia kama kuna tatizo atakurekebishia
DICK SOUND YUPO MAGOMENI KWA SHEKHE YAHAYA ANATAZAMANA NA BENKI YA DCB NI MAARUFU SANA HAPA DAR ES SALAAM
Pia pale mivinjeni kurasini upande wa kituo cha daladala cha kuelekea kkoo kuna fremu pale yupo jamaa pia anafanya izo kazi!Wapi yupo mwaminifu? Mm nipo dar
Upo maeneo gani?Gari yangu ina cd 6 lakn cd zimenasa zote ndani hazitoki wala hazi-play. Msaada plz
Upo maeneo gani?
Shaibu huyoFundi wa mivinjen amenishaur nidisconect waya za betri ucku wakat wa kulaza gari then kesho ikigoma nipeleke
Shaibu huyo
Mimi namuhitaji wa kunibadilishia lugha tu. Gari inasoma kijapani kila kitu. Taabu tupu