Fundi na gharama za kuondoa mistari kwenye Smart TV

Fundi na gharama za kuondoa mistari kwenye Smart TV

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Waungwana nawasalimu,

Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema.

Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
 
Back
Top Bottom