Fundi na muuzaji wa submeter ana hitajika hapa

Fundi na muuzaji wa submeter ana hitajika hapa

Fundi manyumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
3,799
Reaction score
8,063
Nahitaji fundi wa kunifungia sub meter ile ya kuweza kutumia umeme wangu peke angu...

Nipo dar gongo la mboto...
Mawasiliano njo pm chap
 
Mimi ninazo nilinunua mbili kwa wapangaji bei yake moja laki na 30 unaingiza kawaida token mbil ila jichanganye ununue za laki unanunua umeme wa link sasa kuipata hiyo link ni kama vile unataka kutoa hela tigopesa alafu mtandao unasumbua utakesha ila kama unqfunga zile za laki ufunge kwa wapangaji wote au uache kwako
 
Back
Top Bottom