Fundi naomba unitengenezee simba kwa chelsea.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Wabongo bwana nasikia sasa hivi wale mafundi wanaotengeneza vitanda siku hizi wateja wao wamekuja na jina jipya kwamba kama unataka kitanda tano kwa sita ni swala la kumwambia fundi nitengenezee kitanda simba kwa Chelsea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…