Fundi nzuri WA Samsung JAMAN simu imepasuka na wino umevuja naogopa Hawa chovya chovya

Fundi nzuri WA Samsung JAMAN simu imepasuka na wino umevuja naogopa Hawa chovya chovya

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo

Naomba tuambiane

Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake

Kioo kwishnaaa

Winoo. Hioo

Samsung a03

Sijui sh ngapi sio kwa kutishiwa na watu hivi oohh
 
andaa laki moja njoo pm nikupe no za simu yupo kariakoo jamaaa
 
Mcheki huyu jamaa anaitwa SAM yuko Mlimani City..+255769038065

Kashanitengenezea simu 2 so far z kubadili kioo samsung n iphone..UHAKIKA
 
Back
Top Bottom