Fundi Plumbing napatikana hapa

Fundi Plumbing napatikana hapa

plumber hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
881
Reaction score
1,537
Habari wakuu me ni fundi bomba uliza swali lolote linalo husu plumbing nitakujibu kuanzia mifumo ya maji moto baridi,maji taka, Ujenzi wa chemba,Bei ya material ya plumbing n.k

IMG-20240310-WA0006.jpg
 
Hiyo chemba ndogo ambayo hata haitunzi maji na uchafu, kwanini umeijenga kwa kuweka huo ukuta kwa ndani?.
 
Back
Top Bottom