Lucas strongman
Member
- Nov 21, 2017
- 38
- 15
- Thread starter
-
- #41
Hii inatkiwa kuta iwe imefanyiwa skimingNzuri sana , zina life span ya muda gani? Zinataka maandalizi gani pale ukutani kabla ya zenyewe kubandikwa?
Mana nimeona sehemu ,jamaa alipomaliza kujenga tu ukuta wake kapiga tiles mmoja matata sana na imependeza balaa , hajaingia gharama ya lipu, plasta wala upuuzi mwingine .
Hewaaaaa ndo jibu nilikuwa nataka nijueHii inatkiwa kuta iwe imefanyiwa skiming
8D Hakuna mkuuVipi ikiingia maji? 8D zinapatikana?
Zile hatunaMkuu zile za elfu tatu mnazo? Niko songea kama zipo mnitumie
hii ni wall paper (kwa maana inabandikwa ukutani) au ni rangi?
Daah mkuu umejikweza sana.Hii sanam chini umeiskim wewe!?
Shukran broHii sanam chini umeiskim wewe!?
Bei maelewano mkuuBei zenu bei gani?