Fundi Rangi Mzuri dsm.

Fundi Rangi Mzuri dsm.

Joined
Jul 21, 2020
Posts
57
Reaction score
60
Nahitaji kurudia rangi ya gari, au kubadilisha kabisa naomba kuelekezwa mafundi wazuri bei pamoja na ushauri wowote. ni ki- ist
 
Nahitaji kurudia rangi ya gari, au kubadilisha kabisa naomba kuelekezwa mafundi wazuri bei pamoja na ushauri wowote. ni ki- ist
NB: fundi wa vichochoroni huea sifanyi nao kazi yoyote.
Peleka Nduvini auto garage, Gajjar auto works forau kwa Wachina.

Ila uelewe hawa mafundi wa huko kwa Wachina ni hawahawa wa garage unazoziita za vichochoroni.

Nenda ukapigwe invoice iliyosimama huko mwenye garage kubwa next time akili zitakurudia.

Dr surgeon anachohitaji siyo ukubwa wa hospitali kama Muhimbili au Mloganzira Bali anahitaji facility theater iliyokamilika hata ikiwa nyumbani kwake unafanyiwa upasuwaji vizuri tu na kwa uhakika.
 
naona umechukizwa sana na mimi kutohitaji mafundi wa vichochoroni, lakini elewa kila mtu na uendeshaji wake wa mambo, je kama nahitaji invoice kwa sababu zinalipwa na wadhamini, na je kama nilisha wahi kufanyiwa kitendo kisicho na utu kwemye gari yangu uko vichochoroni, ! naelewa nachosema na ndo maana nasema ki-ist hakiendi kupakwa rangi vichochoroni!
vp kuhusu bei hujanipa mwangaza, ??
Asiyetaka vichochoroni huwa hana tatizo na bei, peleka gari garage utapewa invoice.

Yani hapo unamiliki hiyo baby walker ndio mbwembwe zote hizi? Ingekuwa ni tako la nyani au Prado nadhani ungepeleka Toyota Tanzania kabisa.
 
Ila mwalimu una mbwembwe wewe khaaaaaa

Laiti ungejua huko kwa wachina mafundi ni Hao Hao unaoita vichochoroni!

Invoice popote unapata ticha,

Punguza ku complicate maisha ticha. Maisha sio magumu kihivyo. Relax uinjoi life
 
Garage ni bei tu lakini sio kwamba wanaubora sana kuliko hao wa vichochoroni, kuna mwamba yuko magomeni anaua sana rangi lakini kwakua ushawakataa ndio basi tena
 
Nikinunua gari nitajua nikomenti vipi, ngoja kwanza
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Asiyetaka vichochoroni huwa hana tatizo na bei, peleka gari garage utapewa invoice.

Yani hapo unamiliki hiyo baby walker ndio mbwembwe zote hizi? Ingekuwa ni tako la nyani au Prado nadhani ungepeleka Toyota Tanzania kabisa.

Mkuu Dr Matola PhD salam kwako,
Mkuu kama hutojali unaweza nipa mawasiliano ya yeyote wa wakala wanaotengeneza rangi kulingana na color code ya gari yako? Nataka kupiga upya rangi asili ya gari baada kuambiwa na Traffic rangi niliyoipiga sio rangi halisi ya gari.

Ahsante
 
Peleka kwa Wachina, waoneshe kadi ya gari, kwenye particular rangi ya gari imeandikwa.

Next time ukipeleka kupiga rangi mtaani Fundi anayejuwa kazi yake anafunguwa kifuniko cha fuel tank anakwenda nacho sample kwenye kuchanganya rangi.

Thomson na Thompson ni majina mawili tofauti.
 
Mkuu Dr Matola PhD Nashukuru kwa majibu yako.
Hao wachina ndio natafuta Contacts zao au wanavyojulika (Jina) nilitafute Contacts zao kupitia mtandao.

Ahsante
 
Back
Top Bottom