Fundi simu anapatikana

Epateletech

Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
45
Reaction score
20
Hiyo link ni Display na bei zake
Hiyo bei ni pamoja na ufundi
Share link
Epateletech epate

====

SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu
Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch zake na upande wa pili ni system charge
>Nikupe mchongo leo fahamu zaidi namna ya unavyoweza kumudu gharama za matengenezo ya simu yako.
TECNO
✓Tecno smart bei ya kubadilisha touch ni 17k ambazo zimewahi kubadilishwa na 25k kwa amazo hazikuwahi kubadilishwa
✓Bei ya vioo inatofautiana kulingana na simu yenyewe mfano:
INFINIX
✓bei ya kubadilisha touch inatofautiana kwenye infinix za nyuma kidogo ni 20k na za sasa kuanzia hot 8 ni 28k
✓Pia vioo vinatofautiana kulingana na simu yenyewe mfano
SAMSUNG
✓Samsung nyingi zinakuwa complete yaani zipo chache zenye touch na touch kwa samsung bei ya kubadilisha ni 20k
✓Bei za vioo ziko tofauti tofauti kulingana na simu mfano:
HUAWEI
>Y9 ni 90k
>Y6 ni 70k
>rnd L22 Mate 10 lite ni 85k
SONY
> Z3 ni 70k
IPHONE
✓ Iphone hazina mambo ya touch ila vioo sio gharama sana
Mfano
5 ni 50k
6plain,6s,6plus, ni 65k
7plain,plus ni 70k
8 ni 100k
Xmax ni 280k
HERUFI "K" INA MAANA YA 1000 YAANI ELFU MOJA HIVYO MFANO 50K NI ELFU HAMSINI
VIOO VYA SIMU NDOGO
hivi navyo vinarofautiana kwa njia zake
Mfano
Njia 16,20,24 ndogo ni 8k
Njia 37 ndogo ni 11 na kubwa 17
HIZO BEI NI PAMOJA NA KUBADILISHA YAANI UFUNDI
SYSTEM CHARGE
Kwa simu ndogo ni 3k
Smart za kawaida ni 7k
Na smart samsung ni 15k
PROTECTOR
3D ni 3k
5D ni 5k
KUFLASH SIMU
Samsung ni 20k
Tecno na infinix ni 15k
Itel 10k
Vivvo 20k
Oppo 20k
KUTOA FRP
Samsung 20k
Tecno na infinix ni 15k
Itel 10k
Oppo 20k
Vivo 20k
KU UNLOCK
Hapa inategemea na simu bei ubadilikabadilika
Tuna tatua matatizo mengi ya simu ikiwamo zilizoingia maji,zilizozima ghafla, zinazowaka hazimalizi,zinazosumbua network,
Kwa mafundi walioko mbali accessories zote zipo unaweza kutumiwa kwa bei ya jumla
Accessories zote zipo
Chager
Vioo
Touch
Protector
Solder wire
Receiver
Mic
Mifuniko
Frame
Bettery
Vibao
System charge
Gundi
Paste
Usb
Speaker
Earphones
Gun
Lamination
TUNAFANYA KAZI NA MAFUNDI WALIOKO MBALI KWA KUWATUMIA VIFAA AU MSAADA WA SOFTWARE
TUPO MBEZI LUIS FIKA MBEZI WASILIANA NASI
0757937196
KARIBUNI SANA
 
sony z5 kioo bei gani na ufundi
 
Mbona bei mkasi sana

s7 zaidi ya 240k duuuh na wakati rock city ni 150k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…