Fundi simu kwa bei nafuu

Epateletech

Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
45
Reaction score
20
Epateletech tunakuja na hii
Ukikosa hii offer sijui itakuaje
Whatsapp 0757937196
Wateja wetu wa mikoa ya nje na dar fanya utakalo ona linakufaa kati ya yafuatayo.
1.Itume simu moja kwa moja ofisini itengenezwe kisha utatumiwa au unaweza kumtumia mtu kama una mwenyeji dar es salaam
2.Wasiliana na fundi wako katika eneo lako uweze kutumiwa spear ya simu yako
3.Unaweza kuagiza kioo ukatafuta fundi wa kukufungia
KARIBUNI SANA

SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu
Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch zake na upande wa pili ni system charge

>Nikupe mchongo leo fahamu zaidi namna ya unavyoweza kumudu gharama za matengenezo ya simu yako.

TECNO
✓Tecno smart bei ya kubadilisha touch ni 17k ambazo zimewahi kubadilishwa na 25k kwa ambazo hazikuwahi kubadilishwa

✓Bei ya vioo inatofautiana kulingana na simu yenyewe mfano:

INFINIX
✓bei ya kubadilisha touch inatofautiana kwenye infinix za nyuma kidogo ni 20k na za sasa kuanzia hot 8 ni 28k

✓Pia vioo vinatofautiana kulingana na simu yenyewe mfano

SAMSUNG
✓Samsung nyingi zinakuwa complete yaani zipo chache zenye touch na touch kwa samsung bei ya kubadilisha ni 20k
✓Bei za vioo ziko tofauti tofauti kulingana na simu mfano:

HUAWEI
>Y9 ni 80k
>Y6 ni 65k
>rnd L22 Mate 10 lite ni 85k

SONY
> Z3 ni 70k
>mate 8 ni 80k

IPHONE
✓ Iphone hazina mambo ya touch ila vioo sio gharama sana
Mfano
5 ni 38k
6plain,6s,6plus, ni 55k
7plain,plus ni 70k
8 ni 85k
X130k
Xmax ni 240k

HERUFI "K" INA MAANA YA 1000 YAANI ELFU MOJA HIVYO MFANO 50K NI ELFU HAMSINI

VIOO VYA SIMU NDOGO
hivi navyo vinarofautiana kwa njia zake
Mfano
Njia 16,20,24 ndogo ni 6k
Njia 37 ndogo ni 8 na kubwa 12

HIZO BEI NI PAMOJA NA KUBADILISHA YAANI UFUNDI

SYSTEM CHARGE
Kwa simu ndogo ni 3k
Smart za kawaida ni 5k
Na smart samsung ni 15k

PROTECTOR
3D ni 3k
5D ni 5k

KUFLASH SIMU
Samsung ni 20k
Tecno na infinix ni 10k
Itel 10k
Vivvo 20k
Oppo 20k

KUTOA FRP
Samsung 20k
Tecno na infinix ni 10k
Itel 10k
Oppo 20k
Vivo 20k

KU UNLOCK
Hapa inategemea na simu bei ubadilikabadilika

Tuna tatua matatizo mengi ya simu ikiwamo zilizoingia maji,zilizozima ghafla, zinazowaka hazimalizi,zinazosumbua network,
>>Kwa Wateja walioko mbali unaweza kutuma simu yako ikafanyiwa kazi.

Kwa mafundi walioko mbali accessories zote zipo unaweza kutumiwa kwa bei ya jumla
Accessories zote zipo
Chager
Vioo
Touch
Protector
Solder wire
Receiver
Mic
Mifuniko
Frame
Battery
Vibao
System charge
Gundi
Paste
Usb
Speaker
Earphones
Gun
Lamination

TUNAFANYA KAZI NA MAFUNDI WALIOKO MBALI KWA KUWATUMIA VIFAA AU MSAADA WA SOFTWARE

TUPO UDSM CHANGANYIKENI,GOBA DAR ES SALAAM WASILIANA NASI
0757937196

Huduma nzuri Sana. Ukiwa mwaminifu utafanya kazi Sana mkuu. Mungu akupe hekima na heshima kwa wateja wako.
 
Ahsante kwa taarifa...

Uwe na kale ka speaker kanachorudia rudia matangazo kwa sauti ya kelele...
 
Infinix samrt 6 frp tools,
Kwa mwenye nayo hiyo tool au tool itakayoondoa frp kwenye infinix smart 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…