Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Japokuwa kutoa ushauri mzuri ni mpaka mtu aone wirering, ukubwa (ulaji)wa vifaa utakavyotumia na future plans zako, lakini 3 phase is the best choice.Kwanza fahamu tofauti ya 3phase na Single Phase
Kila phase inabeba kiwango cha umeme sawa kutoka kwenye Transformer na hakuna sehemu zinaungana kuongeza nguvu ya umeme kwa kifaa husika
Single Phase ikifika kwenye Main switch yenyewe italisha MCB zote i.e Sockets, Taa, AC na kadhalika
3 Phase ikifika kwenye Main Switch yenyewe unaweza kugawanisha
Phase 1 Ilishe AC
Phase 2 Ilishe Sockets
Phase 3 Ilishe Taa
Na hapa phase moja ikipata hitilafu basi hizo nyingine zinaendelea na Supply
I.E phase iliyolisha MCB za AC ikikosa umeme basi Sockets na Taa zitaendelea kufanya kazi
Cha kuzingatia ni Aina (ukubwa) wa waya na kifaa kinachoenda kutumika
Umeme wa Tanzania ni 220V
Na vifaa vingi ni Labled 220v - 240v kuruhusu fluctuation
Ila kuna kitu kinaitwa Watts W
Hii ndio upelekea kifaa kutumia umeme zaidi
Waya wa Taa 1.5mmya 5watts hauwezi kusupply AC yenye 1000watts
Hii waya itapata moto ba kupelekea kuungua (kuwaka moto)
Funga 3Phase kama kwako kuna changamoto ya umeme kukatika katika kwa Phases
Funga single phase kama umeme ukikata unakata line zote pia Kwenye wiring
1.5mm Taa
2.5mm Socket’s
4mm AC
6mm Oven
Mkuu nimependa sana hitimisho lako, mpaka hapo nimemuelewa fundi. Huku umeme ukikata unakata wilaya nzimaKwanza fahamu tofauti ya 3phase na Single Phase
Kila phase inabeba kiwango cha umeme sawa kutoka kwenye Transformer na hakuna sehemu zinaungana kuongeza nguvu ya umeme kwa kifaa husika
Single Phase ikifika kwenye Main switch yenyewe italisha MCB zote i.e Sockets, Taa, AC na kadhalika
3 Phase ikifika kwenye Main Switch yenyewe unaweza kugawanisha
Phase 1 Ilishe AC
Phase 2 Ilishe Sockets
Phase 3 Ilishe Taa
Na hapa phase moja ikipata hitilafu basi hizo nyingine zinaendelea na Supply
I.E phase iliyolisha MCB za AC ikikosa umeme basi Sockets na Taa zitaendelea kufanya kazi
Cha kuzingatia ni Aina (ukubwa) wa waya na kifaa kinachoenda kutumika
Umeme wa Tanzania ni 220V
Na vifaa vingi ni Labled 220v - 240v kuruhusu fluctuation
Ila kuna kitu kinaitwa Watts W
Hii ndio upelekea kifaa kutumia umeme zaidi
Waya wa Taa 1.5mmya 5watts hauwezi kusupply AC yenye 1000watts
Hii waya itapata moto ba kupelekea kuungua (kuwaka moto)
Funga 3Phase kama kwako kuna changamoto ya umeme kukatika katika kwa Phases
Funga single phase kama umeme ukikata unakata line zote pia Kwenye wiring
1.5mm Taa
2.5mm Socket’s
4mm AC
6mm Oven
Jibu swali la watu kwanza
Watakuja mkuu , usijali cha muhimu mawasiliano tuMimi ni fundi umeme mwenye uzoefu wa electrical installation ,single phase, three phase ufungaji wa nyumba troubleshooting motor control na star-delta. Napatikana Dodoma . Mwenye kazi au connection yoyote naomba naomba an- PM au awasiliane nami kwa no. 0659297719
Hata usipowasha vyote, lakini hiyo phase mtaani utakuta nyumba kibao zimeunganishwa kwa hiyo. Hapa Tanesco sijui wanasemaje.Changamoto kwa single phase itatokea endapo utawasha vifaa vyote ulivyovitaja kwa wakati mmoja.
Jibu swali la watu kwanza
Habari, ndugu mteja.Hata usipowasha vyote, lakini hiyo phase mtaani utakuta nyumba kibao zimeunganishwa kwa hiyo. Hapa Tanesco sijui wanasemaje.
Kama yuko karibu na Transforma vifaa vyote vinaweza fanya kazi vizuri kwa single phaseChangamoto kwa single phase itatokea endapo utawasha vifaa vyote ulivyovitaja kwa wakati mmoja.
Kama yuko karibu na Transforma vifaa vyote vinaweza fanya kazi vizuri kwa single phase