Fundi Umeme (Samico Tanzania) aomba pambano na Mandonga, ashusha bei za ufundi kwa wateja wa Jamii Forums tu

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
486
Reaction score
1,237
Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA.

OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa nane! (Kila chumba kwenye nyumba yako tutachaji elfu 50 tu kufunga kila kitu hadi kukabidhi)!

Ofa hii ni kwa wadau wote wa JF! Ukipiga simu sema nimepata namba yako JF, neno la utambulisho wa OFA ni (August 5 bora) ukishindwa kusema neno hilio la utambuzi utakosa OFA hii.

Piga simu 0711756341

Nilidhani unataka pambano na mandonga mtu kazi[emoji28]..ungelala asee maana jamaa anatisha..

Hongera Kwa ubunifu
 
Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA.

OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa nane! (Kila chumba kwenye nyumba yako tutachaji elfu 50 tu kufunga kila kitu hadi kukabidhi)!

Ofa hii ni kwa wadau wote wa JF! Ukipiga simu sema nimepata namba yako JF, neno la utambulisho wa OFA ni (August 5 bora) ukishindwa kusema neno hilio la utambuzi utakosa OFA hii.

Piga simu 0711756341

Sema na hizo nguzo za fensi
 
Elfu 50 kwa chumba ni gharama ya ufundi tu au na vifaa kwako?
 
Back
Top Bottom