Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Naomba kazi mkuu hapo chalinze hata viringe tunajenga bei poaNakuombea
Nitakupa ya Kigamboni mkuuNaomba kazi mkuu hapo chalinze hata viringe tunajenga bei poa
Nitashukuru sanaNitakupa ya kigamboni mkuu
Karibu sanaSawa fundi kwenye hizo 5 niwe kibarua
Pambano nalikaka mkuu siyo utani!Nilidhani unataka pambano na mandonga mtu kazi[emoji28]..ungelala asee maana jamaa anatisha..
Hongera Kwa ubunifu
Sema na hizo nguzo za fensiWatu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA.
OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa nane! (Kila chumba kwenye nyumba yako tutachaji elfu 50 tu kufunga kila kitu hadi kukabidhi)!
Ofa hii ni kwa wadau wote wa JF! Ukipiga simu sema nimepata namba yako JF, neno la utambulisho wa OFA ni (August 5 bora) ukishindwa kusema neno hilio la utambuzi utakosa OFA hii.
Piga simu 0711756341
Kama kawaidaSema na hizo nguzo za fensi
Njoo piga simu kesho kuna site tunaenda kama vipi njooSawa fundi kwenye hizo 5 niwe kibarua
Hata chumba kimoja tunatengeneza mkuu! Vinginevyo tuwe mabondia tuWewe ni mwamba
Shukrani mkuu shida sasa nipo nje ya jijiNjoo piga simu kesho kuna site tunaenda kama vipi njoo
Ufundi tuElfu 50 kwa chumba ni gharama ya ufundi tu au na vifaa kwako?
Ufundi tu mkuuElfu 50 kwa chumba ni gharama ya ufundi tu au na vifaa kwako?