Fundi Umeme

Fundi George

Member
Joined
Mar 17, 2021
Posts
15
Reaction score
12
Zoezi la kufunga Submita hizi za PREPAY Hizi ni Mita Binafsi Ambazo ni maalumu kabisa kwa wale Watu wanaotumia mita moja ya LUKU zaidi ya mtuu mmoja limekamilika

Faida za hii Mita nikwamba owapo mtumiaji mmoja kati ya wale wanaotumia umeme Luku moja zaidi ya wawili akiishiwa umeme hatapata tena umeme mpaka pale atakapoweka ama kununua umeme wake

Kwa huduma na ushauri juu ya mifumo salama na sa hihi ya umeme

Call & WhatsApp
0622313163
0622313163





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…