Fundi wa Computer (Hardware & Software)

Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..kwa mawasiliano piga Simu No.0676040772
Mimi nina Laptop aina ya sonny VAIO, display yake haifanyi kazi vizuri, tatizo nahisi ni inverter, unazo inverter za sonny VAIO, bei yake ikoje?
 
Fundi baraka kuna uwezekano wa kupatikana kwa housing ya Sony vaio
 
Hi baraka.
Nina laptop yangu hp haiwaki kabisa. ukichomeka power supply " Power LED ina blink 8 times". Hili tatizo linataturika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…