habarini wandugu, nina tv yangu ya mchogo ilikuwa inaonesha rangi vizuri ila saivi inaonesha rangi ya blue iliyochanganyikana na nyeusi kiujumla inaboa kinoma noma, sasa juzi niliileta kwa fundi nkamwahidi ntaichukua baada ya siku mbili sasa leo nimefika hapa kwake naona bado anahangaika nayo sijui ndo haelewi pakugusa ama! so please wandugu kama kuna mwenye mautundu na hizi mambo anambie pakugusa ili nimshauri huyu fundi.