U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 3,337 Reaction score 5,876 Jan 19, 2019 #21 Mlatinoh king said: daaah Mungu akinisaidia nikija kuwa na hela nyingi ntamuwekea mama angu mzazi kwnye nyumba yake. Click to expand... Hela nyingi zipi ndugu! wakati fundi hapo katoa bei; 1 roll=35,000/=, na gundi 10,000/=. Jumla 45,000/=. Halaf nilishawahi kuitazama makala ya uwekaji wa wallpaper katika chaneli ya Aljazeera. Imepita miaka kadhaa, kumbe teknolojia imeishaingia bongo! Nilihisi ni gharama sana kumbe ni rahisi tu. Asante fundi Sent using Jamii Forums mobile app
Mlatinoh king said: daaah Mungu akinisaidia nikija kuwa na hela nyingi ntamuwekea mama angu mzazi kwnye nyumba yake. Click to expand... Hela nyingi zipi ndugu! wakati fundi hapo katoa bei; 1 roll=35,000/=, na gundi 10,000/=. Jumla 45,000/=. Halaf nilishawahi kuitazama makala ya uwekaji wa wallpaper katika chaneli ya Aljazeera. Imepita miaka kadhaa, kumbe teknolojia imeishaingia bongo! Nilihisi ni gharama sana kumbe ni rahisi tu. Asante fundi Sent using Jamii Forums mobile app
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Jan 19, 2019 #22 Kwa mikoani,garama zikoje?
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 Jan 19, 2019 #23 Imependeza Sent using Jamii Forums mobile app
B51 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 586 Reaction score 823 Jan 20, 2019 #24 Tatizo naishi nyumba ya kupanga. Na mwenye nyumba mkolini kinoma Sent using Jamii Forums mobile app