Mwendece
Member
- Jun 23, 2021
- 35
- 47
Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi.
mwenye uhitaji huo nicheki inbox
karibuni.
mwenye uhitaji huo nicheki inbox
karibuni.