Fundi wa kushona viatu anahitajika

Fundi wa kushona viatu anahitajika

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kuna karakana ndogo inahitaji fundi wa kushona viatu vya kiume hasa travolta.
Mjuzi, awe na uwezo wa kutengeneza hivyo viatu na vionekane vipya kabisa.
Malipo kwa kila pea ni sh. 5000/=
Kama una huo ujuzi, na huna kazi kwa sasa; njoo ujumuike na timu yetu kwa kazi.
Karibu pm, kwa mwenye ujuzi tu.​
 
Hapo ushapu wako wa kazi ndio ulaji wako mzuri unavyokuwa mwingi
 
Back
Top Bottom