Gharama ya ufundi pekee au?!Repair unafanya kwa kiasi gani?
Kuna Sofala 3+2+1,
Nadhan ni mita 18 zinatosha
Na mimi nina shida hii hii nasubiria akujibu hapa nionw kama naweza kumpa kaziRepair unafanya kwa kiasi gani?
Kuna Sofala 3+2+1,
Nadhan ni mita 18 zinatosha
Weka gharama zote,
Nikiiona kazi itakuwa rahisi kukupa gharama, lakini bei za vitambaa ni kuanzia 5000 kwa mita moja mkuu.Weka gharama zote,
yaan bei ya kitambaa na Gharama ya Ufundi