Fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika

Fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh. 100,000/=. Nahitaji flat bar iliyoshiba. Ni vizuri pia ukinionyesha 'sample' za kazi ulizofanya. Eneo la kazi ni Arusha.
 
Flat bar za siku hiz laini sana...nenda ata scrap yard chukua nondo watengenezee
 
Back
Top Bottom