Fundi wa Magari(Motorvehicle)

A JUSTMAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
439
Reaction score
555
Salaamu sana wakuu!

Napenda nijifunze ufundi wa magari nikipata resources na muongozo hivi vitanisaidia sana.
Kama kuna mwenye tutorials, notes na hata aliye na garage naeza kuhudhuria hapo kila nipatapo muda nijiongezee utaalamu.

Siwezi kwenda VETA au chuo lakini naeza kuja garage na kwa mafundi wakujitegemea.

Nataka nipate ujuzi wa mambo ya engine, jinsi ya kufanya repair na maintanance/preventive maintanance vizuri.

Natanguliza shukrani.

NOTE:

Elimu haina mwisho TUSICHOKE KUJIFUNZA MAARIFA MAPYA.
 
Mkuu tangazo lako halina ujazo kumshawishi mtu Kucomment. Yaani halina uzito kumshawishi mtu.
 
Mkuu tangazo lako halina ujazo kumshawishi mtu Kucomment. Yaani halina uzito kumshawishi mtu.
Natafuta kujifunza ufundi wa magari mkuu sasa kwenye garage si wanakarabati hayo magari yenye hitilafu/yaliyoharibika nikipata huko itanifaa na nipo Dar es salaam makazi. Au sijaeleweka bado?
 
mkuu ungekuwa unataka ufundi umeme wa magari ningekukaribisha kwenye mishemishe zangu na harakati ili tushare kile nikifahamucho mm.
 
mkuu ungekuwa unataka ufundi umeme wa magari ningekukaribisha kwenye mishemishe zangu na harakati ili tushare kile nikifahamucho mm.
Ufundi umeme wa magari unahusika na nini, nifafanulie kidogo ili nielewe mkuu
 
Ufundi umeme wa magari unahusika na nini, nifafanulie kidogo ili nielewe mkuu
Dogo unatakiwa kwenda hata veta upate basic foundation , technology ya miaka hii ni tofauti na miaka ya 70
 
Dogo unatakiwa kwenda hata veta upate basic foundation , technology ya miaka hii ni tofauti na miaka ya 70
VETA hamna kitu pale .ni hovyoo kabisaa atafundishwa mambo ambayo yalishafutwa kwenye dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…