Fundi wa mlango wa Toyota Porte

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,599
Reaction score
2,161
Habarini wana jamvi,

Natafuta fundi mzuri wa mlango (Automatic) wa Toyota Porte.

Niko Dar es salaam,

Natanguliza shukrani.
 
Njoo mnaz moja kuna mtu ni hatari kwa kazi hiyo na hana longo longo
 
Mkuu bora nunua mlango mingine piga hesabu ya mda wako na fedha then linganisha na bei ya mwingine
 
Mkuu bora nunua mlango mingine piga hesabu ya mda wako na fedha then linganisha na bei ya mwingine

Mkuu bado sijapiga hesabu yoyote. Ahsante kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…